Huyu ndiye aliyepiga kambi kwenye hoteli aliyofikia Lady Gaga jina lake alikufahamika kirahisi na kutaka kuonana na msanii huyo ili amvalishe pete ya ndoa (Engagement Ring). Kwa wapenzi wa msanii huyo walisema Lady Gaga alivyosikia hivyo alishuka na kumsikiliza jamaa huyo na kukubali kufanya yote aliyoambiwa na jamaa huyo na kusema “But I smell.” To which she replied, “Don’t worry, I smell too.” She gave the man a rose, some money, and posed for a series of pictures with him.
Lady Gaga alitoka hotelini hapo na kuonana naye na jamaa huyo kutaka kumvalisha pete huku wakipiga picha ya ukumbusho na Lady Gaga alikubali kufanyiwa hivyo.
Endelea kutizama tukio zima kwa kubofya hapa chini
Wakiwa kwenye picha ya pamoja
SOURCE: PIX GROVE
No comments:
Post a Comment