Wakazi wa manispaa ya Dodoma wakikimbilia kumuona muendesha baiskel
ambaye hakufahamika jina aliyevunjika mkono baada ya kugogwa na Gali
ndogo ya kutembelea yenye namba za usajili T158 BPG kwenye barabara kuu
mtaa wa Tembo.
Kundi hili la wakazi wa mji wa Dodoma wakimuangalia muendesha
baiskeli aliyevunjika mkono na kuchanika kichwani baada ya kugongwa na
gali Dogo lenye namba za usajili T 158 BPG katika barabara ya Tembo
inayotazamana na Nyerere Squere.(Picha na John Banda)
Endelea kusoma habari hii kwa kubofya hapa chini
Hili ni gali Dogo lenye namba za usajili T 158 BPG lililomgonga mwendesha baiskeli katika barabara ya Tembo
inayotazamana na Nyerere Squere.
No comments:
Post a Comment