Katika hali isiyo yakawaida wakazi wa magomeni waishio katikati ya mwembe chai na kagera katika barabara ya morogoro wamekuwa sio waelewa kabisa na kutokubali wala kufata amri za viongozi wao wa mtaa,ukiangalia ukuta umeandikwa ONYO USITUPE TAKATAKA HAPA FAINI ELFU HAMSINI UKIKAMATWA kwa kuwa kiswahili kigumu sana wao wakatupa takataka pembeni kidogo ya eneo hilo ambapo kuna ujenzi wa barabara mpya ya magari yaendayo kasi,kiukweli huu sio uugwana kabisa wakazi wa magomeni hamjafanya poa kabisa...... angalia picha zaidi.
Endelea kutizama picha kwa kubofya hapa chini
Picha Zote na hyperhk
No comments:
Post a Comment