HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BLACKBERRY YAKUBALI KUNUNULIWA KWA $4.7 BILLION


BlackBerry jana imesema imekubali kuingia kwenye mkataba na kundi linaloongozwa na kampuni ya Fairfax Financial Holdings kuiuza kwa thamani ya dola bilioni 4.7.

Katika mkataba huo, wawekezaji watapokea dola 9 za cash kwa kila share.
Hata hivyo Blackberry ilisema itaendelea kutafuta namna zingine zinazowezekana wakati mazungumzo na Fairfax yakiendelea.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 
Ijumaa Blackberry ilitangaza kupunguza wafanyakazi 4,500 duniani kote.
Mkataba huo utamaliza hali ya sintofahamu inayoizunguka kampuni hiyo ambayo Ijumaa iliyopita ilionya kuwa ilipata hasara ya karibu dola bilioni

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: