HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BOTI YAZAMA ZIWA TANGANYIKA NAKUUA WATU 12

Boti kubwa imezama katika ziwa Tanganyika maeneo ya Kipwa upande wa Tanzania na kuua watu wapatao 12.
Kwa mujibu ya watu waliotoa taarifa,watu 12 wameopolewa wakiwa wamekufa kutokana na kuzama kwa boti hiyo, mpaka sasa maiti hao bado hawajatambuliwa kuwa ni raia wa wapi.
Hivi sasa naelekea sehemu ya tukio kusaidia uokoaji wa majeruhi wa eneo hilo ambapo mpaka sasa watu watatu wamepatikana wakiwa hai; nitawajuza baada ya kufika eneo la tukio. 
Chanzo Jamii Forum

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: