HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » CHRIS WALTON MWANAMKE MWENYE KUCHA NDEFU KULIKO WOTE DUNIANI

 Chris Walton, 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi  duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuzikata toka mwaka (1993)
Walton ambaye pia ni mwanamuziki alihudhuria uzinduzi wa Guinness World Records 2014 uliofanyika London, Uingereza Jumanne wiki hii

 ENDELEA KUTIZAMA PICHA KWA KUBOFYA HAPA CHINI






«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: