Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
SILAFRICA Bw Alpesh Patel ambao ni watengenezaji wa vifaa vya plastiki
yakiwemo matanki ya kuhifadhia maji ya SIMTANK akisoma taarifa fupi
mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa Tanki
jipya la Kuhifadhia maji liitwalo SIMTANK la Bluu lenye Ubora wa hali ya
juu wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya uliofanyika katika ofisi zao
zilizopo Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu Wa Kampuni ya
SILAFRICA Alpesh Patel akimuonyesha Mwanafunzi Wa Shule ya Msingi sehemu
ya Kukata Utepe Ikiwa kama Ishara ya Uzinduzi wa SIMTANK jipya lenye
ubora wa hali ya juu wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya uliofanyika
katika Ofisi zao zilizopo Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam
Baadhi
ya wanafunzi wanaosomeshwa na Kampuni ya SILAFRICA ikiwa kama sehemu ya
kurudisha faida kwa jamii wakiwa makini katika uzinduzi wa SIMTANK
jipya lenye ubora wa hali ya juu.
Endelea kutizama tukio hili kwa kubofya hapa chini
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya
SILAFRICA Alpesh Patel Akikata keki yenye mfano wa SIMTANK
lililozinduliwa leo jijini Dar Es Salaam pamoja na Mwanafunzi wa Shule
ya Msingi kama Ishara ya Kuzindua tanki Jipya la SIMTANK la Bluu
linalotengenezwa na kuuza na Kampuni ya SILAFRICA kupitia kwa mawakala
wake
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
SILAFRICA Alpesh Patel ambao ni watengenezaji wa bidhaa za plastiki
yakiwemo matanki ya kuhifadhia maji ya SIMTANK akionyesha ubora wa tanki
hilo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) endapo tanki hilo la
SIMTANK la bluu hata kama likikanyagwa au kukandamizwa baadae linarudi
kwenye hali yake ya kawaida bila kuwa na nyufa au kupasuka
SIMTANK
jipya kutoka Kampuni ya SILAFRICA ambao ni watengenezaji wa bidhaa za
plastiki yakiwemo Mantaki ya SIMTANK likiwa limeminywa Na gari la
kubeba vitu vizito wakati wa uzinduzi wa SIMTANKI jipya la Bluu katika
ofisi zao zilizopo Maeneo ya Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam jana
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
SILAFRICA Bw Alpesh Patel ambao ndio watengenezaji wa bidhaa za plastiki
yakiwemo matanki ya SIMTANK akionyesha tanki la SIMTANK jipya
lililominywa na gari la kubeba vitu vizito wakati wa uzinduzi wa SIMTANK
jipya lenye ubora wa hali ya Juu baada ya kuanza kurudi kwenye hali
yake ya kawaida mara baada ya kuminywa na gari la kubeba vitu vizito
wakati wa uzinduzi wa SIMTANK jipya la bluu uliofanyika jana Katika
Ofisi zao zilizopo Maeneo ya Chang'ombe jijini Dar Es Salaam
Baunsa
wa Wa SIMTANK akionyesha uwezo wake wa kutunisha misuli ikiwa kama
ishara ya kuonyesha kuwa matanki yote yanayotengenezwa na kampuni ya
SILAFRICA yana ubora wa hali ya juu na magumu na yenye kuaminika na
wateja zaidi ya Milioni Moja Afrika Mashariki.
NA LUKAZA BLOG



No comments:
Post a Comment