Huyu ndiye Musa Senkando,Mume wa Marehemu Yusta Mkali anaesadikika
kufanya mauaji hayo na anatafutwa na polisi.Picha chini ni Marehemu
Yusta Mkali aliyepoteza Maisha Kwa Kuuliwa na Mumewe Musa Senkando
(Pichani Juu)
Marehemu Yusta Mkali enzi za uhai wake.
Wakazi
wa Kawe wakiwa na nyuso za huzuni wakati mwili wa marehemu Yusta Mkali ukitolewa
ndani kwenda kuhifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala.
PAMOJA BLOG INATOA POLE KWA NDUGU,JAMAA, MARAFIKI WA MAREHEMU YUSTA MKALI KWA KUONDOKEWA NA NDUGU, KIPENZI CHAO.
CHANZO: MTAA KWA MTAA








No comments:
Post a Comment