HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MSIKILIZE DIAMOND AJIBU TUHUMA ZA KUTUMIA BEAT YA DAYNA NA CHORUS YA BABA LEVO, SCANDAL YA KUZAA NA DENTI MENGINE

Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake. Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti wiki iliyopita. Msikilize hapa akijibu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: