HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » NAIBU WAZIRI ATEMBELEA BOMBA KUBWA LA MAJI LILILOPASUKA USIKU KUAMKIA LEO HUKO BUMA, BAGAMOYO


  Harakati za ukarabati wa bomba lililopasuka ukiendelea kwa kasi usiku wa kuamkia leo eneo la Buma Wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani
  Naibu Waziri wa Maji, Dk. Binilith Mahenge (kushoto) akifuatilia kwa makini kazi ya kutengeneza bomba liliopasuka, pamoja na Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Archad Mutalemwa usiku wa kuamkia leo
 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
 Kazi ikendelea kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kabla jua halijachomoza

PICHA NA MICHUZI BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: