Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akifafanua jambo wakati vyama vya upinzani vya Chadema, NCCR-Mageuzi na
CUF vilipokutuna jijini Dar es Salaam na kutoa tamko la ushirikiano
juu ya mustakabali wa mchakato wa katiba mpya, baada ya kupitishwa
kinyemela kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.
Kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa
CUF, Prof. Ibrahim Lipumba. (Picha na Francis Dande)
Mboweakiendelea kufafanua jambo
Mboweakiendelea kufafanua jambo
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Mwenyekiti wa
CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akizungumza jambo walipokutana jijini Dar es Salaam na kutoa tamko la ushirikiano
juu ya mustakabali wa mchakato wa katiba mpya, baada ya kupitishwa
kinyemela kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akizungumza jambo walipokutana jijini Dar es Salaam na kutoa tamko la ushirikiano
juu ya mustakabali wa mchakato wa katiba mpya, baada ya kupitishwa
kinyemela kwa muswada wa marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba.

No comments:
Post a Comment