Wanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi, Gilman Rutihinda iliyopo Kigogo jijini Dar es Salaam, wakiwa na furaha baada ya kumaliza mitihani ya masomo ya Sayansi, Hisabati na Kiswahili ya kuhitimu elimu ya msingi, jana. Leo wanatarajia kumaliza kwa kufanya mitihani ya masomo ya Maarifa ya Jamii na Kiingereza
-




No comments:
Post a Comment