HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAZAMA TUKIO ZIMA LA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISHWA MAHAKANI LEO MOROGORO

 Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013.Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.
 Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.

 ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 
 Sheikh Issa Ponda akiingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro leo kusikiliza kesi yake
 Wafusi wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogor.
Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea.Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: