Waswahili wanasema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi lakini
wanasayansi wanasema ukubwa wa Korodani za mwanaume (testicles) si
kigezo cha uanaume kamili katika kujihusisha na majukumu ya baba na
ulezi.
Wanayasansi wamegundua
uwepo wa uhusiano mkubwa kati ya size ya korodani za baba na jinsi
alivyo active katika kukuza watoto wake.
Watafiti kwenye chuo kikuu cha Emory cha Marekani, wamedai kuwa wanaume wenye korodani (map***bu) ndogo, wako tayari kuhusika kwenye shughuli kama za kumbadilisha mtoto nepi, kumlisha au kumuogesha.
Source: BBC News





No comments:
Post a Comment