Siku
ya jana Mchana Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya
Mrisho Kikwete aliwaongoza maelfu ya Watanzania kuuzika mwili wa Shujaa
wa Injili Tanzania Hayati Dr. Moses Kulola aliyezikwa katika Kanisa la
Bugando, Mwanza.
Mhe.
Kikwete waliongoza viongozi na waumini wa dini mbalimbali, viongozi wa
vyama vya Siasa nchini katika Kutoa salamu za mwisho na kuulaza Mwili wa
shujaa huyo aliyefariki mwishoni mwa wiki iliyopita. Shujaa wa Injili
Dr. Kulola aliyezaliwa mwaka 1930 ameelezewa na Mhe. Rais kama ni mtu
aliyejitoa kwa ajili ya kazi ya injili katika Tanzania na Nje ya
Tanzania
Wachungaji wakisaidiana kushushajeneza lililobeba mwili wa marehemu Askofu Kulola
Wachungaji wakisaidiana kushusha mwili
Humu ndimo mwili ulivyolala.ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Askofu Mwaisabila akiongoza ibada
Mama Mjane akiweka udongo
Mhe. Mbunge wa Monduli Edward Lowassa akiweka Shada la maua
Mhe. Slaa akiweka Udongo kwenye Kaburi
Mhe Rais Kikwete akitoa salamu za Mwisho
Mhe. Wenje akiweka udongo katika Kaburi
Mke wa Shujaa wa Injili akiweka Shada ya Maua
Mhe. Rais Kikwete akiondoka msibani
Mkandamizaji akienda sawawakati wa mazishi
Mwalimu Mwakasege
Bishop Kakobe
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana linarikiwe.

















No comments:
Post a Comment