Mmoja wa Wasanii mahiri ambaye anafanya vyema kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,Rachael kutoka THT akionesha umahiri wake wa kuimba na kukata mauno jukwaani,huku shangwe zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole akiwa madansa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku wa kuamkia leo.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole akiwa madansa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku wa kuamkia leo.
Wadau katika pozi la picha wakati tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Serengeti fiesta 2013 ni noma saaana usiku wa kuamkia leo,kausheni tuu.!

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Serengeti fiesta 2013 ni noma saaana usiku wa kuamkia leo,kausheni tuu.!

Mkali wa mangoma kutoka Clouds FM,Dj Zero akikamua jukwaani usiku wa kuamkia leo wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea.
Ni noma saana kwa mashabiki wakati wa tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea. 

Mwanadada miwngine ambaye anafanya vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva, Linah akiimba jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Morogoro.
Ni burudani asilimia mia kila kona ya uwanja wa jamhuri .
Ni zao lingine la vipaji kuåitia shindano la Serengeti Fiesta supa nyota 2012,ambaye kwa sasa anafanya vyema sana katika muziki wa bongofleva,anaitwa Neylee akiimba jukwaani.

Wadau wakifuatilia yanayojiri kwenye jukwaa la serengeti fiesta.

Na sisi tupo pia na wakazi wa Morogoro noma saana.
Pichani kati ni msanii Rachael na skwadi lake wakilishambulia jukwaa la fiesta.
Sehemu ya mashabiki wa tamasha la serengeti fiesta 2013 wakishangilia vilivyo usiku wa kuamkia leo.
PICHA NA JIACHIE BLOG

PICHA NA JIACHIE BLOG












No comments:
Post a Comment