Mwanadada
Linah akiimba sambamba na shabiki wake jukwaani usiku huu wakati
tamasha la serengeti fiesta likiendelea ndani ya uwanja wa
Kambarage, mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo.
Anajiita
Mzee wa Mahaba kutoka Manzabay, Cassim Mganga akiwaimbisha mashabiki
wake kwa shangwe huku mayowe yakitawala kila kona ya uwanja wa Kambarage
usiku wa kuamkia leo ndani wakati tamasha la Serengeti fiesta likiendelea kurindima .
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Anajiita Mzee wa Mahaba kutoka Manzabay, Cassim Mganga akiwaimbisha mashabiki wake kwa shangwe huku mayowe yakitawala kila kona ya uwanja wa Kambarage usiku wa kuamkia leo ndani wakati tamasha la Serengeti fiesta likiendelea kurindima .
Mtoto wa Mama Saidi a.k.a Cheke akiimba kwa hisi jukwaani.
Msanii wa Bongofleva Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake.
Mtoto wa Mama Saidi a.k.a Cheke akiimba kwa hisi jukwaani.
Msanii wa Bongofleva Ney wa Mitego akiwaimbisha mashabiki wake.
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Rich Mavoko akiimba jukwaani usiku huu sambamba na madensa wake (hawapo pichani).
Tamasha la Serengeti fiesta 2013 likiendelea usiku wa kuamkia leo.

Mashabiki wake wanamuita Kinga Zilla kutoka Sala Sala, lakini pia jina la Godzilla limemuongeza umaarufu kwa mashabiki wake kutokana na umahiri wake wa kushusha mistari ya hip hop mikavu mikavu, kama aonekavyo jukwaani akiwaimbisha mashabiki wake ndani ya uwanja wa Kambarage usiku wa kuamkia leo.

Baadhi ya wakazi wa mji wa Shinyanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga,ambapo tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea kufanyika.
Baadhi ya Wadau wakubwa na wadhamini wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2013,kutoka kampuni ya Serengeti Breweries, Octavian, Bahati pamoja na mdau wao, wakiwa katika picha ya pozi usiku huu ndani ya uwanja wa Kambarage, mkoani Shinyanga
Mwanadada ambaye kwa sasa ameonekana akifanya vyema kwenye jukwaa la Serengeti fiesta 2013, Neylee akiwaimbisha mashaniki wake (hawapo pichani).
Anajiita Jita Man kutoka jijini Mwanza akitumbuiza jukwaani usiku wa kuamkia leo.

Dj Zero kutoka Clouds FM akiburuza mangoma usiku wa kuamkia leo.

Dj Zero kutoka Clouds FM akiburuza mangoma usiku wa kuamkia leo.
Mwanadada Shilole na madensa wake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku wa kuamkia leo ndani ya tamasha la Serengeti fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Kambarage.mkoani Shinyanga.
Masbabiki kibao waliojitokeza kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013,usiku wakifuatilia na kushangweka vilivyo mbele ya jukwaa la fiesta.
mashabiki wakifuatilia
Kutoka Wanaume TMK,wakiongozwa Mh Temba na Chege kwa pamoja wakilishambulia jukwaa la Serengeti fiesta usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa kambarage mjini Shinyanga.
Weusi wakitumbuiza jukwaani usiku wa kuamkia leo.
Shabiki akifurahi jamboo.
Kundi la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje, mjini Shinyanga.
PICHA ZOTE NA JIACHIE BLOG

No comments:
Post a Comment