HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UTAFITI: WANAFUNZI WA CHUO KIKUU HUANGALIA SIMU MARA 11 KATIKA KILA KIPINDI DARASANI

Kuongezeka kwa matumizi ya simu (smartphones) kwa vijana, kunaweza kuwa na athari ya moja kwa moja katika mafanikio yao wakiwa wakubwa.
Utafiti uliofanywa kwenye chuo kikuu cha Nebraska-Lincoln umebaini kuwa mwanafunzi wa chuo wa kawaida huangalia simu yake mara 11 katika kila kipindi, na zaidi ya asilimia 80 wanaamini kuwa simu zinaingilia muda wao wa kujifunza.
 
Zaidi ya nusu ya wanafunzi kwenye majimbo matano ya Marekani waliwaambia watafiti wa chuo kikuu hicho kuwa huangalia jumbe za simu na kutembelea mitandao ya kijamii kama Facebook na Twitter sababu masomo yanaboa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: