Beki wa Ashanti United, Tumba Sued akichuana na mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba ilishinda 4-2.
Jafari Gonga akichuana na Betram Mwombeki wa Simba (kushoto)
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Hassan Isihaka akimtoka beki wa Ashanti, Samir Ruhava.
Ramadhani Singano (kushoto), Betram Mwombeki (katu) na Amis Tambwe wakishangilia bao lao la 4.
Mwombeki akimshukuru mungu baada ya kuifungia timu yake bao la 4.
Amisi Tambwe akimiliki mpira huku Jaffari Gonga akimzonga.
Betram Mwombeki akiwa chini baada ya kuumia.
Mwombeki akishangilia baada ya kufungabao la 4.
No comments:
Post a Comment