By: VIJIMAMBO
on November 13, 2013
/
Picha kutoka maktaba
Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar vimefanikiwa kukamata kontena la futi 40 likiwa limepakia meno ya Tembo yaliohifadhiwa katika mifuko ya naolini yenye ujazo wa kilo 50 yakiwa
katika mpango wa kusafirishwa nje ya nchi. Idadi kamili na thamani ya
meno hayo bado haijafahamika.
CHANZO: MWANANCHI
Tag:
PAMOJA BLOG's Admin
HABARI, SIASA , AFYA , JAMII NA MATUKIO MBALIMBALI.
No comments:
Post a Comment