
Mlimbwende
Gabriela Isler, ambaye ni Miss Universe Venezuela 2013, anavishwa taji
na Olivia Culpo, Miss Universe 2012, kwenye fainali za Miss Universe
katika ukumbi wa Crocus City Hall jijini Moscow, Russia, usiku wa
kuamkia leo. Kwa ushindi huo Venezuelan imeshashinda mataji 7 ya Miss
Universe, 6 ya Miss World, 6 Miss International na 1 la Miss Earth.
Bongo bado tupo tupo kwanza, ingawa mwakilishi wetu Betty Boniface kajitahidi sana kwa mavazi ya nyumbani na pozi za kimataifa kama inavyoonesha hapo chini.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Betty alitinga na mavazi ya Tingatinga mkeka wa ukindu
Vazi la Batik na urembo wa Kimasai vilimtoa vilivyo.
PICHA NA MICHUZI BLOG
PICHA NA MICHUZI BLOG






No comments:
Post a Comment