P Square wakiwapagawisha mashabiki kwenye shoo yao iliyofanika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Leades Club
Wasanii wa kundi la P- Square (Peter na Paul Okoye) wakiwa jukwaani wakiwaburudisha wakazi wa jiji la Dar es salaam usiku wa kuamkia leo jijini Dar kwenye viwanja vya Leaders Club
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Paul Okoye akiimba kwa hisia jukwaani usiku huu
Palikuwa hapatoshi kwenye viwanja vya Leades Club usiku wa kuamkia leo
Ilikuwa ni patashika
Peter na Paul Okoye jukwaani
Mtangazaji wa kipindi cha Planet Bongo kupitia televisheni ya Chanel 5 Dulla (Abdallah Ambua) mapema ndie aliefungua Show hiyo kwa kuwaita washindi kundi la asilimia 100%
T-bway
Dulla (Abdallah Ambua) akiimba juwaaani
Kundi la Asilimia 100%
Wakazi wengi wa jiji walijitokeza kushuhudia show hiyo ya wasanii kutoka Nigeria wa kundi la P Square (Peter na Paul Okoye.)
Kundi la asilimia 100 likiendelea kufanya vitu!
Kundi la asilimia 100 likifanya mambo jukwani kwenye ukumbi wa Leaders Kinondoni Jijini Dar es salaam usiku huu.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, 'Ben Pol' akiimba baadhi ya nyimbo zake jukwaani
Kila mtu alikuwa na tabasamu lake hapa! kwenye Uwanja huu wa Leaders Club
MSANII wa muziki wa kizazi kipya , 'Ben Pol' akiendelea kutumbuiza
Ben Pol akiteka nyoyo za mashabiki wake hapa baada ya kuachia wimbo wa pili mfululizo
Taswira!
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, 'Ben Pol' akiimba wimbo wa mapenzi na msanii mwenzake Alice
Mkongwe katika game la bongo flava Prof Jay alivua kofia
Joh Makin kutoka kundi la weusi akitoa burudani kwa mashabiki wake
Prof Jay akitoa burudaniMsanii mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Lady Jay Dee akiimba kwa hisia , Hawa wasanii wanne tu toka Tanzania Lady Jay D, Ben Pol, Profesa J na Joh Makini ndio walipanda jukwaa moja na P-SQUARE ili kukupa muda mrefu wa burudani yenye viwango kama vya P-SQUARE
Lady Jay dee na Vijana wake wakitoa burudani kwene viwanja vya leades Club
PICHA NA BUBOBA SPORT
No comments:
Post a Comment