"Earlarm Device" ni kifaa kilichotengenezwa nchini Korea Kusini na Kyungmi Moon akishirikiana na wenzake Doyun Kim na Jinyong Park. Kifaa hiki cha "Earlarm Device" kimetengenezwa ili alamu inapotoa sauti isimsumbue mtu yeyote bali mtu husika tu. Alamu hii iliyopewa jina la Earlarm ambayo inakuwa na headphone ambazo zinakuwa zimeunganishwa kwa kutumia broototh ya Simu ambayo ni smartphone.
Alamu
hii imetengenezwa kwa kuunganishwa kwenye aplication za simu za
smartphone ambazo zinaweza kutoa taarifa kwa muhusika bila kumsumbua mtu
mwingine.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Headphone
hizo huvaliwa masikioni ambapo zinakuwa zimeunganishwa kwenye saa ya
alamu kwa kupitia broototh ya simu. Hivyo mtu anapolala kama anatakiwa
kuamka muda fulani huweza kumwamsha bila kuwapigia kelele wenzake.
DAILY MAIL
No comments:
Post a Comment