Chumba cha blog hii kimearifiwa na kutumiwa picha za tukio la ajali eneo
la Mikese na Mdau Martin Mnyenyelwa,lakini hakutufahamisha kuhusiana na athari
ya ajali hiyo akiwa kama shuhuda wa tukio hilo. Kulingana na tukio ya taarifa
hii kuwa nyembamba,basi tuvute subira tutajuzana kadiri ya zitakavyokuwa
zikiiingia kwenye chumba chetu cha habari
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
CHANZO : MICHUZI BLOG
No comments:
Post a Comment