HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU WAONGOZA MAZISHI YA MKUU WA MKOA WA MARA,MAREHEMU JOHN GABRIEL MKOANI MOROGORO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro.

 Makamu wa Rais akiweka udongo kwenye kaburi.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014.


ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani yake yaliyofanyika Morogoro.
 Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mama Katherine Msamati baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole Baba mzazi wa aliyekuwabmkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mzee Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana Machi 29-2014 Wilayani Kilosa  Mkoani Morogoro. (Picha na OMR)
Waziri  Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa  katika mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu  Kilosa Machi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: