Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.
|
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Mjumbe wa Bunge wa Maalum
ambaye pia ni Spika wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir
Kificho wakati wa semina ya kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini
Dodoma.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
|
|
Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Iddi akijadiliana jambo
na Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto) wakati wa semina ya kuhusu kanuni
za bunge hilo leo mjini Dodoma. |
|
Waziri
wa Katiba na Sheria ,Dk. Rose Asha Migiro akijadiliana jambo na Naibu
Waziri wa Sayansi na Teknolojia ,Januari Makamba wakati wa semina ya
kuhusu kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma. |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum Dk. Tulie Akson akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.(Picha na Magreth Kinabo
|
No comments:
Post a Comment