HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MWANAFUNZI WA CHUO CHA UDOM GODLOVE BENJAMIN ALIYEFARIKI SIKU YA IJUMAA KUZIKWA LEO MKOANI MARA

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyekuwa anafahamika kwa jina la Godlove Benjamin, Mwaka wa Tatu aliyekuwa anasoma shahada ya Utawala wa Biashara(BBA) Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) amefariki dunia siku ya Ijumaa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam wakati akiwa likizo ya wiki mbili na mwili wake umesafirishwa kwa ajili ya mazishi, ambapo anazikwa leo siku ya Alhamis nyumbani kwao Mogumu, Musoma mkoani Mara. Sababu ya kifo  chake aliugua ghafla ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid).
MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU GODLOVE BENJAMIN MAHALI PEMA PEPONI
AMINA 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: