Wanafunzi
wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa
kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani
Morogoro.
Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakiwa kwenye lori baada ya mgomo wa madereva daladala leo.
ENDELEA KUTIZAMA PICHA ZIDI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Wanafunzi wa shule mbalimbali za Manispaa ya Morogoro wakisubiri usafiri wa kwenda shule bila mafanikio katika kituo cha mabasi kilichopo Mkoani Morogoro. |
.Baadhi ya wanafunzi wakishuka baada ya kufika wanapoelekea.
(Picha zote na Dustan Shekidele / GPL, MOROGORO)
|
No comments:
Post a Comment