HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HII NDIO HALI HALISI YA USAFIRI WA MAJINI KWENYE ZIWA TANGANYIKA MKOANI KIGOMA



  Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Kagunga, ambapo abiria hulipa nauli ya shilingi Elfu tano kwa kila kichwa, na huchukua masaa manne kufika kwenye ufukwe huo, ambako ni mpakani jirani na nchi ya Burundi.
Abiria wakifunikwa turubai wasilowane na mvua, wakati ilipoanza kunyesha mjini hapa.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

 Baadhi ya abiria kutoka sehemu mbalimbali wakipanda Ngalawa kwenye ufukwe wa ziwa Tanganyika, sehemu ijulikanayo kwa jina la Kibirizi kuelekea upande wa pili wa fukwe ya ziwa hilo pajulikanapo kwa jiina la Mwagongo mapema jana mchana mkoani Kigoma.
 Sehemu ya Ziwa Tanganyika kama inavyoonekana kwa mbaali mapema jana jioni mkoani Kigoma.
PICHA NA MICHUZIJR

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: