HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJALI: GARI AINA YA NOAH LATUMBUKIA KWENYE DARAJA LA CHUMA LINALOUNGANISHA SITAKISHARI NA TABATA SEGEREA

 Gari aina ya Noah likiwa ndani ya mto baada ya kukosea njia na kutumbukia mtoni. Daraja hili liliharibiwa vibaya na Roli tarehe 19/06/2014.Daraja hili linalounganisha Ukonga (Banana)- Tabata Segerea- Kinyerezi na Mbezi
 Hii ndio hali halisi ya gari baada ya kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi uliopelekea kuama njia.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


 Hii ndio speed inayoruhusiwa unapokaribia kwenye daraja hili
Pia katika daraja hili liloharibika  kuna kibao kinachoonesha kuwa barabara  imefungwa na pia kuna kamba  za njano na nyekundu zikionesha kuwa hakuna njia lakini cha kushangaza gari hilo aina ya Noah liliweza kukata kamba hizo na kutumbukia mtoni hii imetokana na mwendo kasi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: