HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MPYAAAA: TAZAMA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014

                      



Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO HAYO

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: