Tubingen,Ujerumani,
Washabiki na wadau wa muziki nchini ujerumani wanatarajia kujimwaga
katika maonyesho ya 5th International African Festival Tubingen
2014,Ujerumani, yanayoanza wiki hii 17.Julai 2014 hadi 20.Julai.2014
ambako bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa
band inatarajiwa kutumbuiza Usiku wa jumamosi katika maonyesho hayo.
Bendi hiyo inayoongozwa na kamanda Ras Makunja,ni bendi yenye mazoea
ya kuwatia kiwewe washabiki kila wanapo tumbuiza.




No comments:
Post a Comment