MAREHEMU IRAKI HUDU (RIP)
Ndugu
wanajumuiya, mabibi na mabwana
Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha
maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19
Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni
wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam
.
Shughuli
hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa
Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa
kufuturisha na
kisomo.
Kwa
heshima na taazima tunawaomba ndugu na jamaaa wote kushiriki katika
shughuli hii. Marehemu Iraq, alitutoka tarehe 13.Juni 2014na kuzikwa
siku ya 14.Juni 2014 Hivyo hatunabudi kutekeleza wito huu wa kuadhimisha
siku ya kisomo chake. Kwa maelezo na habari zaidi, unaweza kuwasiliana
na ndugu (Mtoto) wa marehemu kupitia simu hii 0717795070 kwa wanaopiga
kutoka nje ya nchi +255 717795070
Asanteni sana.
Wenu, mwakilishi wa familia ya marehemu Dani Huddu.



+1965-+2014.jpg)
No comments:
Post a Comment