HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » UPDATES: NDEGE NYINGINE YA MALAYSIA YAANGUKA, YAUA WATU 295

Ndege ya Shirika la ndege ya Malaysia yenye namba MH17 imeanguka mpakani mwa Ukraine ya Urusi ikitokea Uholanzi kwenye uwanja wa Amsterdam. Ndege hiyo imeua abiria wote 295 waliokuwa kwenye ndege hiyo iliyokuwa inaelekea jijini Kuala Lumpar nchini Malaysia.

Picha inayoonyesha moshi mkubwa baada ya ndege hiyo kuanguka katika mpaka wa Ukraine na Urusi.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KBOFYA HAPA CHINI


Taarifa za awali zinasema kuwa ndege hiyo inawezekana kuwa imetunguliwa lakini bado haijajulikana nani waliohusika na tukio hilo.

Video ambayo ilichukuliwa wakati ndege hiyo ikiwa inaanguka

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: