HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATUHUMIWA 16 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai 17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16 walisomewa mashitaka.PICHA NA PHILEMON SOLOMON 
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi.


ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KBOFYA HAPA CHINI

Watuhumiwa wakiingia ndani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Watuhumiwa wakipelekwa maabusu baada yakusomewa mashitaka yao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: