HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJALI YATOKEA ARUSHA BAADA YA BASI LA HOOD KUGONGANA NA DALADALA


Wananchi wakiwa wamekusanyika baada ya basi la Hood linalofanya safari kayi ya Arusha na Mbeya kugongana na daladala katika eneo la Kilala jijini Arusha na kusababisha watu watano kufariki dunia.

Muonekano wa basi la Hood lililokuwa linatoka Arusha kuelekea jijini Mbeya baada ya kupata ajali kwa kugongana na daladala eneo la Kilala jijini Arusha asubuhi ya leo. 
 
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
 

Muonekano wa Hiace hiyo kwa mbele baada ya ajali.



Watu watano wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi ya leo na abiria wengi kujeruhiwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: