Msanii wa comedy, Mboto
afurahishwa na director wake John Lister kumkutanisha na msanii mwenzake wa bongo movie Salma
Jabu “Nisha” kwenye filamu moja kwani huwa wanafanya vizuri wakikutana hawa
watu na filamu hiyo ya kidume itatoka mwezi wa nane tarehe 21 watazamaji
wasikose
-
No comments:
Post a Comment