HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA LA MORAVIAN

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.
Baadhi ya viongozi wa kanisa la Moravian Tanzania wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa kanisa hilo hapa nchini uliofanyika juzi mjini Dodoma.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: