HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: BASI LA 5 ALIANCE LATEKETEA KWA MOTO LEO

Basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua   moto asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam. 

Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.
 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: