Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wa Kitaifa akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Daraja la Kilombero katika eneo la Kivukoni, Ifakara mkoani Morogoro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakipiga makofi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Daraja la Kilombero katika eneo la Kivukoni, Ifakara mkoani Morogoro.
ENDELEA KUSOMA HABARI HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na viongozi wengine wa Wizara wakikagua kazi za ujenzi wa Daraja la Kilombero kabla ya kuzinduliwa rasmi ujenzi wake na Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Madaraja madogo yakiwa yamekamilika katika njia ya kuingialia sehemu ambayo daraja kubwa la Mto Kilombero litakapojengwa kama inavyoonekana.
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya kitaalamu kwa Mheshimiwa Rais Dkt. Jakaya Kikwete kuhusu ujenzi wa wa Daraja jipya na la kisasa la Kilombero katika eneo la Kivukoni, Ifakara Mkoani Morogoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuweka jiwe la msingi la kuashiria uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Daraja katika mto Kilombero linalotenganisha Wilaya ya Ifakara na UlangaPicha na Ikulu
No comments:
Post a Comment