1.Kutokujijali katika uvaaji
kutokujali vitu vyako kama simu yako, mara nyingi utakuwa unalaumiwa kwa kosa
la kutokupokea simu kwani huna mtu atakaekufanya uwe “busy” na simu.
2.Utajikuta unamarafiki wengi zaidi wa jinsia tofauti na kujikuta unaanza kupoteza “uanaume” au “Uanamke” wako.
3. Ulaji mbovu kutokana na kuzoea kula peke yako. Utafiti unaonyesha kuwa, watu wenye wapenzi hula kwa staha zaidi ili kuwafurahisha wapenzi wao kuliko watu wasio na wapenzi.
4.Msongo wa mawazo.Hii ni kutokana na kukosa mtu wa karibu unaeweza kumuambia siri yako ya ndani. Utajikuta unatumia muda wako mwingi kuwaza matatizo yako, na inapotokea uko na marafiki zako, utaogopa kuwashirikisha kwa kuhisi kwamba utachekwa.
5.Unakosa Kujiamini katika maisha ya kawaida.
ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
ENDELEA KUSOMA MAKALA HII KWA KUBOFYA HAPA CHINI
6.Ubinafsi na kufikiria nafsi yako tu siku zote
7.Itaathiri utendaji wako wa Kazi! Kweli? Ndio.. Usipokuwa na mpenzi mpaka umri huo, utajikuta unakaa masaa ya ziada kazini na wafanyakazi wenzako watakupa kazi zao kwani utaonekana huna majukumu mengi
8.Siku Ukipata mpenzi utajikuta huwezi kutawala suala la mapenzi, na litachukua muda wako mwingi.
9.Utajikuta unatawaliwa sana na mchezo wa kujichua (Punyeto)
10.Upweke hasa ukikuta marafiki zako wengi wana wapenzi na hii inaweza kukuathiri kisaikolojia.
MAKALA NA 10 MUHIMU
MAKALA NA 10 MUHIMU
No comments:
Post a Comment