MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Picha
ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.
ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi
Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada
wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika
British Council jijini Dar es Salaa.
Simon na Timon kutoka KAS Ujerumani na Afisa Mawasiliano wa
ForumCC, Tajiel Urioh (katikati) wakifuatilia mada wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadau wa Mazingira
na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa bodi ya ForumCC, Euster Kibona akifafanua
jambo kwa washiriki wa mkutano huo
Afisa Miradi ForumCC, Fazal Issa akichangia Mada wakati wa
mkutano huo uliowashirikisha wadau mbalimbali wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar
Mwakilishi wa Vijana wanaofanyakazi na ForumCC, Adam Antony akichangia mada
Wadau wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi wakifuatilia mada mbalimbali
Afisa Mazingira Idara ya Mazingira ya Ofisi ya Makamu wa
Rais-Mazingira, Juma Limbe akifafanua jambo kwa wadau wa mazingira na mabadiliko ya Tabianchi
Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wakifuatilia mada mbalimbali
Balozi wa ForumCC, Fredina Said Kutoka Shinyanga akichangia mada
Marc
Wegerif Mjumbe wa Bodi ya ForumCC akifafanua jambo. Picha zote na Tabianchi Blog
Post a Comment