Wananchi wakipita kwenye dimbwi la maji maeneo ya Posta Mpya jijini Dar es Salaam leo asubuhi baada ya kujaa maji.
Eneo hilo ambalo lipo mkabala na Benki ya Posta kwa muda mrefu zimekuwa likijaa maji kutokana na mitaro ya Barabara ya Azikiwe kuziba lakini wahusika ambao ni Halmashauri ya Manispaa Ilala inaonesha wameshindwa kulimaliza hivyo kuleta usumbufu kwa watu wanatumia barabara hiyo pamoja na magari. (Picha na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Kijana akipita kwenye dimbwi hilo huku akisukuma tolori lake lenye madumu.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Maji yakiwa yameeneo katikaeneo hilo karibu na kituo cha kuuzia mafuta .
Kijana akipita kwenye dimbwi hilo mbele ya maegesho ya Tax katika eneo hilo.
Mwendesha baiskeli ya magurudumu matatu akipita eneo hilo.
No comments:
Post a Comment