Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Fr.James Rugemalira (katikati), akisisitiza jambo kwenye promosheni hiyo. Kutoka kushoto ni Mganga Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU,
Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James, Enic Kashasha,na Andrew Kailembo.
Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza,akichangia mada katika promosheni hiyo.
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Mrembo huyu mnywaji wa Windhoek naye alikuwepo kwenye promosheni hiyo.
Meneja Mauzo wa Kanda ya Ziwa, Godfrey Mwangungulu, akielezea ubora wa Bia za Windhoek.
Mdau wa Windhoek akifuatilia matukio yote kwa karibu. Hakika imependeza.
Mshereheshaji wa Promosheni hiyo, Andrew Kagya, akiwajibika. |
Fr.James Rugemalira (katikati), akiwa meza kuu na viongozi mbalimbali. Kutoka kushoto ni Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali mkoani Bukoba, Sakina Husein Sinda,Mganga Mkuu wa Halmsahauri ya Wilaya ya Bukoba, Hamza Mugura, Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya inayofanya shughuli zake mjini Bukoba ya KADETFU, Yusto Muchuruza, Mshauri wa Fr.James, Enic Kashasha na Andrew Kailembo, Mmiliki wa Walkgard Hoteli, Adventina Matungwa na Dk.Julius Zelothe.
Wanahabari wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo
Promosheni imenogaaaa.
Wadau wakiwa kwenye promosheni hiyo.
Hapa Windhoe imependezaaa ni tamuuuuuuu
Wadau wakipata kinywaji cha Windhoek katika promosheni hiyo.
Meza kuu hiyoooo, wanachangamkia Windhoek.
Ma DJ wakiwajibika katika promosheni hiyooo.(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com simu namba 0712-727062).
No comments:
Post a Comment