HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHUO KIKUU CHA DODOMA KUHUSU KUFUKUZWA KAZI KWA WAFANYAKAZI WAKE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
                       
   BWANA CHRISANTUS LUCAS MILANZI
Bwana Chrisantus Lucas Milanzi, mzaliwa wa Masasi Mtwara, ambaye picha yake inaonekana hapo juu, si mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodoma.
Chuo hakihusiki na muamala wowote unaofanywa na mhusika kwa niaba ya Chuo. Wananchi wenye malalamiko kuhusiana na miamala iliyofanywa au inayofanywa na muhusika kwa niaba ya Chuo wayafikishe kwenye vyombo vya dola kwa hatua za kisheria.
Wananchi wanaombwa kuzingatia kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma kina taratibu za kuendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria. 
                                   
                                   Bw. Tito Ivan William
Chuo Kikuu cha Dodoma kinapenda kuutaarifu umma kuwa Bwana Tito Ivan William, mzaliwa wa Kijiji cha Mtumba - Manispaa ya Dodoma, ambaye picha yake inaonekana hapo juu, sio mwajiriwa wa Chuo Kikuu cha Dodoma kuanzia tarehe 31 Januari 2014.
Chuo Kikuu cha Dodoma hakitahusika na makubaliano yoyote yatakayofanywa na mhusika kwa niaba yake. Malalamiko yoyote (kama yatakuwepo) kuhusiana na mhusika, yapelekwe kwenye vyombo vya dola kwa hatua za kisheria.
Tunatanguliza Shukrani kwa Ushirikiano 
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO – CHUO KIKUU CHA DODOMA
                       Tunatanguliza Shukrani kwa Ushirikiano
IMETOLEWA NA OFISI YA UHUSIANO - CHUO KIKUU CHA DODOMA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: