Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Familia
ya Lengeju wa Kipera Mkoani Morogoro wanasikitika kutanga kifo cha mdogo wao
ROBERT VICTOR LENGEJU kilichotokea mchana wa leo katika Hospitali ya TMJ Dar es
Salaam.
Mipango
ya mazishi inafanyika Nyumbani kwa kaka yake Charles Lengeju, Njia panda
Airport jijini Dar es Salaam.
Habari
ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Lengeju na wakazi wa
Kipera mkoani Morogoro.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE.
No comments:
Post a Comment