Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova (wa pili kushoto) akiwa pamoja na viongozi wa Banki ya I&M wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa kadi hiyo,uliofanyika kwenye ukumbi wa Marquee ndani ya Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.toka kulia ni Mkurugenzi mkuu wa I&M Bank, Anurag Dureha,Kaimu Mkurugenzi wa banki ya I&M, Shameer Patel ,Mkurugenzi wa banki ya I&M (Arusha),Michael Shirima pamoja na Afisa Masoko wa banki ya I&M, Salilabbas Sadak (wa kwanza kushoto).
Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova(wa pili kushoto) akishirikiana na baadhi ya viongozi wa banki ya I&M kukata keki yenye umbo kama kadi mpya ya B PESA.
Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M,Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova akizungumza jambo kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA ya banki ya I&M uliofanyika kwenye ukumbi wa Serena hotel jana.
Mkurugenzi mkuu wa I&M Bank, Anurag Dureha akitoa hotuba yake kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA itakayotumika kufanyia manunuzi mbalimbali na hata kuhamisha pesa kirahisi.
Kaimu Mkurugenzi wa banki ya I&M, Shameer Patel akizungumza jambo kwenye uzinduzi huo
Mkurugenzi wa I&M Bank tawi la Arusha,Bw. Michael Shirima akitoa pongezi pamoja na kuwasisitiza watu wajiunge na bank hiyo pamoja na kuwa na kadi ya B PESA kwa ajili ya kupata huduma kwa urahisi bila tatizo lolote.
Afisa Masoko wa banki ya I&M, Salilabbas Sadak akizungumzia changamoto wanazozipata pamoja na faida ya banki ya I&M kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA
Mkurugenzi wa I&M Bank tawi la Arusha,Bw. Michael Shirima (wa pili kutoka kushoto) akizungumza jambo na Afisa Masoko wa banki ya I&M, Salilabbas Sadak kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B Pesa,uliofanyika kwenye hotel ya Serena jijini Dar es Salaam
Picha ya pamoja
Mkurugenzi wa I&M Bank tawi la Arusha,Bw. Michael Shirima (kushoto) akibadilishana mawazo na Kamada wa Polisi Kanda Dar es Salaam,CP Suileman Kova (katikati) pamoja na Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Tanzania,SACP Simon Siro kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA kutoka benki ya I&M
Kikundi cha kuigiza kutoka THT kikitoa burudani kwenye uzinduzi wa kadi mpya ya B PESA
Burudani ikiendelea
No comments:
Post a Comment