Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
wakiwa katika Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Dk. Willbroad Slaa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar, Said Issa
Mohamed na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari. (Picha na Francis Dande)
Wajumbe wa Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chadema wakiwa katika mkutano.
No comments:
Post a Comment