Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu
Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na maafisa
wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la
Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa.
Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment