Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa Wilaya Ya Chake Chake Pemba, Mhe:Hanuna
Ibrahim Massoud, akizungumza na wananchi na Wakuu wa taasisi mbali mbali za
Serikali nje ya ofisi yake, kabla ya kuwakabidhi katiba iliyopendekezwa kwa
wananchi na wakuu hao.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.
Baadhi ya maboksi yenye katiba iliyopendekezwa ambayo Wilaya ya Chake Chake imepatiwa katiba 14925, ambazo zinataka kugaiwa kwa wananchi waliomo ndani ya wilaya hiyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba Mhe. Hanuna Ibrahim Massoud, akimkabidhi katiba 100, Afisa Mdhamini Wizara ya Miundombinu
na Mwasiliano Pemba Mhe:Hamad Ahmed Baucha, hafla hiyo iliyofanyika mjini Chake
Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mhe. Hanuna Ibrahim MassoudMhe:Hanuna
Ibrahim Massoud akimkabidhi katiba 50, mkuu wa kambi ya JKU Pemba Kepten Asaa
Kombo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mhe. Hanuna Ibrahim MassoudMhe:Hanuna
Ibrahim Massoud akimkabidhi katiba 50 mwakilishi kutoka KVZ ambaye jina lake
halikupatikana, halfa ya makabidhiano hayo yaliyofanyika Mjini Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Wilya ya Chake Chake Pemba Mhe. Hanuna Ibrahim Massoud, akimkabidhi katiba 100, Daktari dhamana wa Hospitali ya Chake
Chake Dk Yussuf Hamad Iddi, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU w Wilaya ya Chake Chake
Pemba, Mhe. Hanuna Ibrahim Massoud akimkabidhi katiba 100 mwakilishi wa NGOs
Pemba, Bikombo Hamad Rajaba hafla ya makabidhiano hayo imefanyika mjini Chake
Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.
MAAFISA mbali mbali wa vikosi vya ulinzi na usalama
wilaya ya Chake Chake wakiwa na katiba zao, baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa
Wilaya hiyo, Mhe:Hanuna Ibrahi Massoud, hafla ya makabidhiano ya katiba hizo
imefanyika mjini Chake Chake.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.
VIONGIZI mbali mbali wa Taasisi za serikali Kisiwani
Pemba, wakichukuwa katiba zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya
Chake Chake Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment